Msaada kisheria

sirma

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
33
Reaction score
3
Mimi ni mkazi wa Mwanza mnamo tarehe 10/07/2017 nilimtumia member mmoja kwenye hili thread ya matangazo madogomadogo yaani wauzaji wa tv amekuwa akinizungusha hela zangu anazo na amekuwa akinihakikishia kuwa tv hatonipa na hela yangu hawezi kurudisha sina utaalamu wa kisheria naombeni msaada pahali pa kuanzia
 
Je kuna uthibitisho wa aina yoyote kuonesha ya kwamba mliingia makubaliano ya mauziano????
 
Je kuna uthibitisho wa aina yoyote kuonesha ya kwamba mliingia makubaliano ya mauziano????
Makubaliano yalikuwa ni kumtumia pesa na yeye anitumie tv upande wangu nilimtumia baada ya hapo ndo dana dana zilianza muhamala nilotuma bado ninayo
 
Una anuani zake/majina ya ofisi na mahali zilipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…