Grounds za poor performance(kwa kipindi cha 2010-2012) walizoeleza ni masuala ambayo hayakuwahi kufanyika ikiwa ni pamoja na utoaji wa taarifa juu ya utendaji kazi usiofikia kiwango,utoaji wa mafunzo na miongozo kwa lengo la kuboresha utendaji haijafanyika, hakuna ushauri, wala maelekezo ya kuboresha utendaji isipokuwa mwaka March, 2012 walimpongeza kwa kuwa a symbol of personal and professional achievement kwa kuitumikia kampuni kwa muda mrefu walitoa cheti maalum na fedha. Appraisal ya 2012 ndiyo imeleta termination based on poor performance.