Msaada: Kisimbuzi cha Azam kinasumbua

Msaada: Kisimbuzi cha Azam kinasumbua

UMUNYU

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
726
Reaction score
564
Kwanza ninawashukuru wote mlionishauri kubadili king'amuzi baada ya kile cha zuku kuwa kinaniandikia no signal kila siku hasa mawingu yanapotanda!Nilihamia huku kwa Azam! Sasa baada ya kukizoea toka juzi wingu limetanda na mvua inanyesha kama ilivyotabiriwa!

Ajabu toka juzi naandikiwa "No or bad signal". Yaani ni kama nimepata Zuku part two!Kwa kuwa sina uzoefu na king'amuzi hiki ninaomba mnisaidie namna ya kutatua tatizo hili!Nimepiga huduma kwa wateja wananiambia wako busy wanahudumia wateja wengine!

Msaada tutani.
16990843955023473800018347599068.jpg

16990844236901364362184961920706.jpg
 
Hehehehe Azam+mawingu+mvua=pain killer
 
Duh!Kwa hiyo ni kawaida?Maana usijekuwa ninashangaa Mimi mwenyewe kwa sababu ni mgeni!!
Sisi tushaamaa huko Azam mkuu saivi tupo Azam full burudani

Husipoelewa hii reply basiii
 
Back
Top Bottom