Itakuwa no signalWakuu habari zenu,
King'amuzi changu cha Azam TV kinaandika neno App baada ya kukiwasha halafu hakionyeshi chochote, ila mwanzo kwenye TV huwa linaanza kuja neno Azam TV halafu mwishowe kwenye kingamuzi inabaki kuandika neno App huku kwenye TV hapaoneshi kitu zaidi ya weusi.
Naombeni mwongozo natibu vipi hili tatizo?
NB: Ni hivi ving'amuzi vyeusi, toleo la mwisho.
Hicho ni cha kupiga SOFTWARE… Kama uko Dar peleka TazaraWakuu habari zenu,
King'amuzi changu cha Azam TV kinaandika neno App baada ya kukiwasha halafu hakionyeshi chochote, ila mwanzo kwenye TV huwa linaanza kuja neno Azam TV halafu mwishowe kwenye kingamuzi inabaki kuandika neno App huku kwenye TV hapaoneshi kitu zaidi ya weusi.
Naombeni mwongozo natibu vipi hili tatizo?
NB: Ni hivi ving'amuzi vyeusi, toleo la mwisho.
Hivyo ving'amuzi vyeusi ni chenga sanaWakuu habari zenu,