Msaada: Kisukari First Aid

Msaada: Kisukari First Aid

kagangana

Member
Joined
Jan 30, 2015
Posts
96
Reaction score
27
Wandugu nina office - mate amepanda kisukari, anatapika na amepoteza nguvu kabisa. Tunafanyaje mnaojua.
 
Sukari yake ya kushuka au kupanda?

Kama ya kushuka tafuta Fanta Orange mnyweshe au Glucose au hata Sukari ya chai mlambishe

Kwa yakupanda siju kwa kweli
 
JF doctor uko wapi?,njoo utoe maelekezo mkuu.

Sidhani kama kuna employed JF doctor, muwahisheni hospitali mapema, huwezi kutoa management while hujajua chanzo cha yeye kupata hiyo hali.

Kuwa na kisukari siyo HOJA ya kutoa management may be kuna other hidden factors, hivyo ni vyema akawahishwa hoapital for proper history taking, physical examinatios and thereafter kupanga matibabu..
 
Namishukuruni nyote, mgonjwa alipata ahueni na kutufahamisha kuwa anatibiwa SANITAS Mikocheni nasi tukamuwahisha. Kwa kweli Mungu ni Mwema, mgonjwa anaendelea vizuri. Ametoka hospitali
 
Namishukuruni nyote, mgonjwa alipata ahueni na kutufahamisha kuwa anatibiwa SANITAS Mikocheni nasi tukamuwahisha. Kwa kweli Mungu ni Mwema, mgonjwa anaendelea vizuri. Ametoka hospitali

Mpe pole mgonjwa, wakati mwingine msipoteze muda JF kwa mambo ya dharura kama hayo..
 
Una maana gani? Huwa sipotezi muda, Si wa kwangu au wa mtu mwingine. I suggest that you behave next time.
 
Una maana gani? Huwa sipotezi muda, Si wa kwangu au wa mtu mwingine. I suggest that you behave next time.

kama ulivyoomba huduma ya kwanza wakati huo ndiyo muda ambao ungeutumia kumuwahisha mgonjwa hospitali...

Who to behave??
 
Back
Top Bottom