mcharewamwika
Member
- Jul 27, 2011
- 10
- 1
Hiki kigimu sana! Sijatafuta popote maneno hayo kwa Kiswahili. Lakini tukikubali kwamba akili ni "mind" conscious mind huweza kuwa akili za kujitambua, na subconscious mind akili za kutojitambua.
acha kudanganya watu we we. Eti "akili za kutojitambua"!!! Kha
mangatara, mugajamii, jipu nyie wote wapotoshaji. Kwanza unatakiwa uelewe "sub" maana yake nn, hii ni prefix...ikiwa na maana ya "below" something, sio negative or opposite that something. Kwahiyo maana ya "conscious mind" wote mko sawa...ila hapo kwenye "sub-conscious mind" ndio naona wote pumba tu. subconscious mind means: internal sense of being ambayo consious mind haiwezi decipher, i mean kukupa maono halisi, wakristo wanaita nafsi, mfano mzuri wa activities za subconscious mind ni ndotoConscious mind = dhamira njema sub conscious mind = kutokujitambua ufanyalo
mangatara, mugajamii, jipu nyie wote wapotoshaji. Kwanza unatakiwa uelewe "sub" maana yake nn, hii ni prefix...ikiwa na maana ya "below" something, sio negative or opposite that something. Kwahiyo maana ya "conscious mind" wote mko sawa...ila hapo kwenye "sub-conscious mind" ndio naona wote pumba tu. subconscious mind means: internal sense of being ambayo consious mind haiwezi decipher, i mean kukupa maono halisi, wakristo wanaita nafsi, mfano mzuri wa activities za subconscious mind ni ndotoKujitambua na kutokujitambua
tuelezee na wewe tukukosoe sasa siyo unamponda mwenzako tu
Conscious mind = dhamira njema
sub conscious mind = kutokujitambua ufanyalo
Hiki kigimu sana! Sijatafuta popote maneno hayo kwa Kiswahili. Lakini tukikubali kwamba akili ni "mind" conscious mind huweza kuwa akili za kujitambua, na subconscious mind akili za kutojitambua.
Conscious mind = dhamira njema
sub conscious mind = kutokujitambua ufanyalo
nakubaliana na wewe mkuu huu ni ukweli kwani wote walikataa ulichosema wameishia kujikanyaga afadhali hata mrigariga yeye kashauri itumike kamusi kama vile wot hawa wanaojikanyaga hawajasikia walakuiona. ukiona kiwango cha jitahada kinakuambia walianzia huku. ila yawezekana ipo kamusi mpya ambayo hawajaiona
Kwenye kamusi lazima ipo mkuu. Kuna maneno magumu kuliko hii.