Nawasalimu wana JF. Mwanajamii nimetatizwa na hili lifuatalo: Naomba wana JF wanisaidie jinsi ya kumuuliza kwa kiingereza Baba yangu Mzazi kuwa mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa kwake au kwenye familia yetu! Lakini kwa Kimombo.
Mfano: Unaita Baba, anaitika Naam. Swali Linaanza Hivi. Baba, mimi ni mtoto wangapi kuzaliwa kwako?
Mfano: Unaita Baba, anaitika Naam. Swali Linaanza Hivi. Baba, mimi ni mtoto wangapi kuzaliwa kwako?