Hata si ungebisha hodi mkuu?Nawasalimu wana JF. Mwanajamii nimetatizwa na hili lifuatalo: Naomba wana JF wanisaidie jinsi ya kumuuliza kwa kiingereza Baba yangu Mzazi kuwa mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa kwake au kwenye familia yetu! Lakini kwa Kimombo.
Mfano: Unaita Baba, anaitika Naam. Swali Linaanza Hivi. Baba, mimi ni mtoto wangapi kuzaliwa kwako?
Kuna thread kama hii hii ilianzishwa miezi kama 2 iliyopita, search kwenye forum ya lugha
msaidie kaka! si unaona tena just a single post! labda kajiunga humu kuuliza hiyo tu!Seniour,
Join Date: Sat Feb 2009 Posts: 1
Thanks: 0
Thanked 0 Times in 0 Posts
Nawasalimu wana JF. Mwanajamii nimetatizwa na hili lifuatalo: Naomba wana JF wanisaidie jinsi ya kumuuliza kwa kiingereza Baba yangu Mzazi kuwa mimi ni mtoto wa ngapi kuzaliwa kwake au kwenye familia yetu! Lakini kwa Kimombo.
Mfano: Unaita Baba, anaitika Naam. Swali Linaanza Hivi. Baba, mimi ni mtoto wangapi kuzaliwa kwako?