Habari Wanajf,
Ninaomba kama kuna member anaweza kunisaidia kupata kitabu cha hisabati darasa la tano kilichochapishwa na Ben & Company.
Mdogo wangu anakiitaji sana kiweze kumsaidia kumudu somo hilo.
Nimetafuta sana kwenye Bookshops hapa mjini lakini bado sijafanikiwa.
Natanguliza shukrani.
Baba Enock