wasiliana na mkuu wa shule unayohamia na mkuu wa shule uliyopo ataandika barua itaenda kwa afisa elimu mkoa, huyo atathibitisha nafasi kwenye shule unayohamia, akiona nafasi ipo ataruhusu upokelewe.mkuu wa shule uliyopo atakupa sasa barua ya uhamisho ya kwenda nayo shule husika... atakayoambatanisha details zako muhimu.