msaada kituo kizuri cha kurudia mitihani chenye hostel mikoa ya morogoro na dsm

chitanda.nyoka

Senior Member
Joined
May 3, 2012
Posts
193
Reaction score
43
naomba kufahamu kituo kizuri kwa wanaorudia mitihani chenye hostel kati ya morogoro na dsm naomba tusaidiane maana kijana wangu kaharibu vibaya yaani hata ngazi ya cheti hapati.
 
Vipo vingi sana Mjini Tanga. Hostel vile vile zipo nyingi tu mjini hapo. Bei ya hostel vile vile siyo mbaya sana.
WEWE UWE NA PESA YA KUMLIPIA KITUO CHA KUSOMEA NA HOSTEL. VITUO VYA KUSOMEA VINAMILIKIWA NA WATU WENGINE NA HOSTEL NI NYUMBA ZA WATU ZA KUISHI. Tanga kuna uzoefu wa biashara hiyo.

Kama uko tayari we nenda Tanga, Itakuchukua muda wa siku moja tu kukamilisha mambo yote. Vituo vya kusomea ni Tofauti na vituo vya kufanyia mtihani.

Dar es salaam na Morogoro, biashara hii imekaa vibaya; kwa upande wa kuishi, kusomea na kufanyia mtihani.

TANGA MAMBO YOTE YAKO KARIBU KARIBU. HAIHITAJI KUTUMIA USAFIRI WA AINA YOYOTE HOSTEL KWENDA SEHEMU YA KUSOMEA.

Mtoto wako awe tu na Nidhamu ya kusoma.

HOSTEL NI ZA KUJIPIKIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…