MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,410
- 8,184
Heshima kwenu brothers and sisters
Msaada kwa anaefaham sehemu nzuri yenye proffessional stress counselor Dar es salaam...
Kama mnavyojua kwenye maisha tunakutana na changamoto nyingi sana ambazo mda mwingine zinatuchanganya kama changamoto za mapenzi, changamoto za drama za ndugu na familia, changamoto za kazi, ujasiriamali etc, changamoto za kuuguliwa na nyinginezo nyingi..
Je ni sehemu gani nzuri ya unapoweza kwenda kupata huduma kama una stress zozote kichwani mwako?
Nimegundua watu wengi sana wanatafuta hizi sehem sema hawajui kwa kuzipata so tunategemea msaada mkubwa sana kwa mnaojua wapi panafaa