Msaada kituo kizuri cha Stress Counseling Dar es salaam

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,410
Reaction score
8,184
Heshima kwenu brothers and sisters

Msaada kwa anaefaham sehemu nzuri yenye proffessional stress counselor Dar es salaam...

Kama mnavyojua kwenye maisha tunakutana na changamoto nyingi sana ambazo mda mwingine zinatuchanganya kama changamoto za mapenzi, changamoto za drama za ndugu na familia, changamoto za kazi, ujasiriamali etc, changamoto za kuuguliwa na nyinginezo nyingi..

Je ni sehemu gani nzuri ya unapoweza kwenda kupata huduma kama una stress zozote kichwani mwako?

Nimegundua watu wengi sana wanatafuta hizi sehem sema hawajui kwa kuzipata so tunategemea msaada mkubwa sana kwa mnaojua wapi panafaa
 
Check AAR hospital. Nimeona vipeperushi vyao vikitangaza hiyo huduma
 
Okoka mpokee Yesu uanzishe mahusiano naye binafsi.He is the great Physician ,the healer and best stress counselor ever..
Hao makansela wa kidunia dunia nao pia wanahitaji counseling
 
Kweli hii ni nafasi nzuri kwa watu waliosomea hii kitu waanzishe vituo vya counselling!! Kitalipa sana maana asilimia kubwa ya watu wazima ni tatizo na watoto pia ni tatizo. My god!
 
Dar vituo hivyo vipo vingi kwa sasa. Lakini si vibaya pia ukasoma makala hii kuhusu stress katika ukurasa huu. Ni ndefu sana hata kuikopi hapa nimeona kazi, bonyeza hapo ukaisome.
 
Kweli hii ni nafasi nzuri kwa watu waliosomea hii kitu waanzishe vituo vya counselling!! Kitalipa sana maana asilimia kubwa ya watu wazima ni tatizo na watoto pia ni tatizo. My god!

Ngoja nitafute jengo zuri nifungue ofisi
 
Okoka mpokee Yesu uanzishe mahusiano naye binafsi.He is the great Physician ,the healer and best stress counselor ever..
Hao makansela wa kidunia dunia nao pia wanahitaji counseling

Umekuja kivingine kabisa....
 
Nashukuru sana kwa kunijuza wapi nitapata huduma hii, nimekuwa nikiitafuta kwa muda mrefu sana.
 
Nenda Muhimbili, omba umwone Dr Hogan au Dr Frank
 
Dar vituo hivyo vipo vingi kwa sasa. Lakini si vibaya pia ukasoma makala hii kuhusu stress katika ukurasa huu. Ni ndefu sana hata kuikopi hapa nimeona kazi, bonyeza hapo ukaisome.

vipo vingi wapi? ingekuwa vizuri ukavitaja, utakuwa umemsaidia sana mtoa mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…