Habari zenu humu ndani? Poleni Na majukumu, Mm nina tatizo naombeni msaada nimetokewa na kauvimbe kadogo kama size ya harage shingoni chini ya sikio upande wa kulia umekaa kama wiki 3 ulikuwa hauumi ila Leo nimeanza kusikia maumivu ya shingo upande ulipo uvimbe sielewi umesababishwa na nini naombeni msaada tatizo litakuwa ni nini