Asante myInawezekana ni tezi zinapambana na ugonjwa,
Kawaida tezi hupotea ndani ya wiki 6.
Jikague kama ulishaumwa mafua, vidonda vya koo au sikio?
Pamoja na hayo yote ni vizuri ukamwona Dr kwa uangalizi wa karibu
KaribuAsante my
Kidonda kikiwa kichwani na tezi ikavimba shingoni je?Inawezekana ni tezi zinapambana na ugonjwa,
Kawaida tezi hupotea ndani ya wiki 6.
Jikague kama ulishaumwa mafua, vidonda vya koo au sikio?
Pamoja na hayo yote ni vizuri ukamwona Dr kwa uangalizi wa karibu