yohana avith
Member
- May 26, 2011
- 7
- 2
Basi tuanzishe mimi na wewe maana najua zinatoka china tu.
yani mpaka vijiti vya mishkaki vinatoka china!!!!
Basi tuanzishe mimi na wewe maana najua zinatoka china tu.
Ni wazo zuri, linataka thorough survey. one big challenge ni Mtaji. unatakiwa uwe na takriban 50M. kuhusu kibali sijajua vinatolewa kwa utaratibu gani, ila pia kama utaanzisha kama mjasiriamali mdogo unaweza kupata ahueni. pia naomba kupata mawasiliano ya LAT anaweza kunipa challenges alizokutana nazo.
Ni wazo zuri, linataka thorough survey. one big challenge ni Mtaji. unatakiwa uwe na takriban 50M. kuhusu kibali sijajua vinatolewa kwa utaratibu gani, ila pia kama utaanzisha kama mjasiriamali mdogo unaweza kupata ahueni. pia naomba kupata mawasiliano ya LAT anaweza kunipa challenges alizokutana nazo.
hii nchi ni kama kisiwa flani hivi,viberiti,toothpick,pamba za masikio sio vitu vya kuagizaMpaka leo wadau bado tunaagiza toothpick kutoka China, tuwe ''siriasi'' kidogo
Nshafatilia online kuhusu mashine za kutengeneza toothpick zipo hata za kuoperate mtu mmoja, yani hauhitaji kuwa na warehouse kuubwa kwajili Ya kufungua kiwanda, unaweza hata kufanyia kazi at your backyard, challenge niliyoiona ni jinsi Ya kupata raw materials(miti ambayo haina madhara na haina ladha chungu mdomoni), packaging materials na marketing. Na mashine nyingi nlizoziona ktk kugoogle kwangu ni za chini Ya $15,000
Nshafatilia online kuhusu mashine za kutengeneza toothpick zipo hata za kuoperate mtu mmoja, yani hauhitaji kuwa na warehouse kuubwa kwajili Ya kufungua by kiwanda, unaweza hata kufanyia kazi at your backyard, challenge niliyoiona ni jinsi Ya kupata raw materials(miti ambayo haina madhara na haina ladha chungu mdomoni), packaging materials na marketing. Na mashine nyingi nlizoziona ktk kugoogle kwangu ni za chini Ya $15,000
Recommended raw material ya tooth picks na skewers (vijiti vya mishikaki) ni Bamboo (mianzi Miti ambayo IPO kwa wingi mno katika mikoa ya nyanda za juu kusini mikoa kama iringa na mbeya botanical spicie za bamboo ambazo ni ngumu na pia unaweza kutengenezea ice cream sticks ni Arundaria Alpina
Nimewahi kufanya research undergraduate na pia ninayo business plan ya bishara ya utengenezaji wa mishikaki sticks (skewers) kwa kutumia mianzi miti
Hiyo plan yako ina jumuisha gharama za ununuzi wa machine? na umefanya cost benefit analysis ya machine za ukubwa tofauti?
Naipataje hiyo business plan?
Wakuu Mbona naona kama BAMBOO na PALM trees zinafaa kwa kutengeneza TOOTH PICK,
na kama ni kwa uwakika hilo nadhani kuna haja ya kupeleka kiwanda KIGOMA.