ALWATAN KIZIGO
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 539
- 644
Nimefanya utafiti wa kila kitu kuhusu hii biashara ila tatizo nililo nalo ni kwenye organization structure pili ni jinsi ntakavyokua napokea pesa toka kwa wateja maana nina malori yangu ambayo yatakua yanasambaza maji kama vile makampuni ya coca cola yanavyofanya na mslori. Sasa nahitaji kujuzwa utaratibu mzuri wa kupokea hizo pesa ambazo zitatokana na mauzo ya maji ya kwenye malori (maji ya chupa)