Lepapalongo Member Joined Jan 28, 2009 Posts 92 Reaction score 11 Sep 1, 2011 #1 Wanajamvi naomba mnifahamishe kwa TUICO BEDA ada kiasia cha 3,262500.00 mi hapo natakiwa kulipa kiasi gani? Kwani nimetafuta www.tumaini.ac.tz haina fees structure nawakishalisha kwenu.
Wanajamvi naomba mnifahamishe kwa TUICO BEDA ada kiasia cha 3,262500.00 mi hapo natakiwa kulipa kiasi gani? Kwani nimetafuta www.tumaini.ac.tz haina fees structure nawakishalisha kwenu.
MBUFYA JF-Expert Member Joined Aug 15, 2011 Posts 445 Reaction score 68 Sep 1, 2011 #2 Mimwenyewe nina shida hiyohiyo, tunaomba anaye fahamu atusaidie,