Enny JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 962 Reaction score 130 Jul 7, 2014 #1 Jamani naomba msaada wenu kuna binti yangu amechaguliwa form Five HGK, kwenda shule ya Kiwele.Lakini nimefuatilia nimeambiwa kuna Kiwele mbili moja ipo Iringa na Nyingine Tabora. nimeshindwa kujua yeye amepangiwa kiwele ipi.
Jamani naomba msaada wenu kuna binti yangu amechaguliwa form Five HGK, kwenda shule ya Kiwele.Lakini nimefuatilia nimeambiwa kuna Kiwele mbili moja ipo Iringa na Nyingine Tabora. nimeshindwa kujua yeye amepangiwa kiwele ipi.