teetotaller
JF-Expert Member
- Dec 16, 2014
- 307
- 204
uko mkoa gani?Habari wana JF
Tafadhali naomba kujua kizunguzungu kinasababishwa na nini maana kila nikiamka asubuhi sina raha hadi nitulie kwa muda kadhaa ndipo kinatulia,,,,,
Naombeni kujuzwa wana jamvi wenzangu
Dar es salaamuko mkoa gani?
Nitafanya hivyo Mkuu...asante kwa Msaada wako!Wengi husema ukiwa na kizunguzungu cha mara kwa amara ni dalili ya damu kupungua mwilini au kuongezeka sana ni vyema ukaenda hospitali na kuangalia kiwango cha damu kama kiko sawa
Haya mkuuNitafanya hivyo Mkuu...asante kwa Msaada wako!