MSAADA: Kodi za TRA pindi mzigo ukifika nchini

MSAADA: Kodi za TRA pindi mzigo ukifika nchini

kingkimbe

Senior Member
Joined
Jul 11, 2017
Posts
110
Reaction score
51
Habari wanajamvi, natumaini mpo poa?

Nilikuwa naulizia kwa wajuzi, kodi za mizigo inayokuja na meli kwa njia ya posta mfano, mzigo ya phone and computer accessories TRA wanachukuaje kodi?

Naombeni msaada.
 
kodi za mizigo
inayokuja na meli
kwa njia ya posta
kodi za mizigo
  • Kodi kwa bidhaa toka nje ya nchi, Haitegemei njia ya usafirishaji iliyotumika kufikisha mzigo nchini.
  • Kila bidhaa itokayo nje ya nchi hutambuliwa kwa HS code, na ndio hutoa taarifa ya kodi husika.
  • Mamlaka husika, TRA, wamegawa bidhaa katika makundi kadha wa kadha, Kuna bidhaa ambazo hulipiwa kodi kamili pamoja na VAT, kuna ambazo hazilipiwi kodi bali utatakiwa kulipia VAT pekee.
 
Samahan mkuu Woodmachine huwa zinakatwa kodi ukiagiza kutoka nje??
 
Naomba mawasiliano yako Mwl.RCT
Mawasliano | Post No.1 hapa 👉 Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
1667700116746.png
 
Mwl.RCT
Naomba kuuliza maana wewe ni mkongwe kwenye hii tasnia ya usafirishaji naomba kuuliza soko kuu la mtandaoni Dubai kama ilivyo Alibaba China kama unalijua naomba unisaidie
 
Back
Top Bottom