Msaada kosa la udanganyifu, mahakama itaamua nini katika hili?

Msaada kosa la udanganyifu, mahakama itaamua nini katika hili?

AREA 255

Member
Joined
Sep 17, 2014
Posts
5
Reaction score
0
Je, kama kesi ni ya jinai (kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu) mtu amehukumiwa kifungo cha nje na kutakiwa kumlipa mlalamikaji lakini hakuweza kumlipa mlalamikaji kwa muda uliopangwa na mahakama bila sababu za msingi ni kitu gani mahakama itaamua?
 
Mkuu ngoja wataalamu wa sheria waje wakufafanulie aisee
 
Back
Top Bottom