Je, kama kesi ni ya jinai (kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu) mtu amehukumiwa kifungo cha nje na kutakiwa kumlipa mlalamikaji lakini hakuweza kumlipa mlalamikaji kwa muda uliopangwa na mahakama bila sababu za msingi ni kitu gani mahakama itaamua?