Laki 2 inatoshaShukrani mkuu, gharama za kozi hii zikoje?
Sijajua inachukua muda gani, ila ni ujuzi utakao kuweka kwenye mstari.Mkuu hii ni short course kweli?
PLUMBING AND PIPES FITTINGHabari za wakati huu ndugu, jamaa na marafiki humu ndani ya JF.
Mimi ni kijana (22) Nimetoka chuo mwaka huu ila nina nia ya kwenda VETA kuchukua fani yoyote ambayo inaweza kunisaidia. Kwa mafikirio yangu nilihitaji kwenda kusomea udereva wa magari madogo.
Naombeni ushauri juu ya kozi mbalimbali (za muda mfupi) na fursa pia. Kama itaambatana na gharama zake itapendeza pia.
Naomba kuwasilisha na kutanguliza shukrani zangu za dhati kwenu
Nenda kapige umeme wa magari, ukishindwa piga Lathe operator kuchonga vyuma na welding.
Hii léthé operator inatolewa wap hii?