Moniel JF-Expert Member Joined Nov 17, 2020 Posts 274 Reaction score 603 Dec 15, 2024 #21 Mkereketwa wa NAZI said: Nenda driving school then uendevNIT pale ili upate chance uje kuwa hata dereva wa serikali Click to expand... Hata aliyemaliza darasa la 7 anaweza kujiunga NIT
Mkereketwa wa NAZI said: Nenda driving school then uendevNIT pale ili upate chance uje kuwa hata dereva wa serikali Click to expand... Hata aliyemaliza darasa la 7 anaweza kujiunga NIT
M Mkereketwa wa NAZI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2022 Posts 1,048 Reaction score 2,449 Dec 15, 2024 #22 Moniel said: Hata aliyemaliza darasa la 7 anaweza kujiunga NIT Click to expand... Hapana atleast awe na cheti cha form 4
Moniel said: Hata aliyemaliza darasa la 7 anaweza kujiunga NIT Click to expand... Hapana atleast awe na cheti cha form 4
Manyahe JF-Expert Member Joined Mar 17, 2023 Posts 487 Reaction score 883 Dec 16, 2024 #23 Udereva kwa mwanaume sio fani we nenda maliza kozi pata lesen njoo tuendelee kupambana Usichokijua ni kwamba huku mtaani watu wana lesen mpaka za kuendesha meli alaf we unawaza magari madogo
Udereva kwa mwanaume sio fani we nenda maliza kozi pata lesen njoo tuendelee kupambana Usichokijua ni kwamba huku mtaani watu wana lesen mpaka za kuendesha meli alaf we unawaza magari madogo