Msaada! Kozi za kusoma online kwa hapa Tanzania

Msaada! Kozi za kusoma online kwa hapa Tanzania

njumu za kosovo

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2017
Posts
3,820
Reaction score
9,625
Umuofia kwenu,

Mimi ni muajiriwa wa serikali katika kada moja nikiwa na ngazi ya diploma kutokana na mabadiliko mbali mbali ya kimfumo na kimikakati imenilazimu nitafute degree kwa njia ya online.

Kwa sasa nipo dar kwa yeyote ambae amewahi kusoma online degree tafadhali naomba muongozo wake na kozi gani naweza kusomea online.
 
Umuofia kwenu, mimi ni muajiriwa wa serikali katika kada moja nikiwa na ngazi ya diploma kutokana na mabadiliko mbali mbali ya kimfumo na kimikakati imenilazimu nitafute degree kwa njia ya online , kwa sasa nipo dar kwa yeyote ambae amewahi kusoma online degree tafadhali naomba muongozo wake na kozi gani naweza kusomea online.
Taaluma yako kwa sasa ni ipi ?

Na unafanya kazi kama nani ?
 
Taaluma yako kwa sasa ni ipi ?

Na unafanya kazi kama nani ?
Nina diploma ya general agriculture nataka kozi yoyote ila first prior saikolojia na kozi nyingine zitakazonipendeza kwa sasa
 
Back
Top Bottom