njumu za kosovo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 3,820
- 9,625
Taaluma yako kwa sasa ni ipi ?Umuofia kwenu, mimi ni muajiriwa wa serikali katika kada moja nikiwa na ngazi ya diploma kutokana na mabadiliko mbali mbali ya kimfumo na kimikakati imenilazimu nitafute degree kwa njia ya online , kwa sasa nipo dar kwa yeyote ambae amewahi kusoma online degree tafadhali naomba muongozo wake na kozi gani naweza kusomea online.
Nina diploma ya general agriculture nataka kozi yoyote ila first prior saikolojia na kozi nyingine zitakazonipendeza kwa sasaTaaluma yako kwa sasa ni ipi ?
Na unafanya kazi kama nani ?
Nina diploma ya general agriculture nataka kozi yoyote ila first prior saikolojia na kozi nyingine zitakazonipendeza kwa sasa
Mkuu hiyo kozi kusoma mpaka GPA ya 3.5,kwanini wamewekea gpa kubwa hivyo? Kuliko hata degree ya udaktari.Kama una GPA pungufu na unataka kusoma hiyo kozi,kuna utaratibu gani?
Jaribu hiyo.
Ila utaratibu wa OUT, mitihani ni lazima ukafanyie chuoni au kwenye vituo vyao.