Msaada ku apply chuo online Nacte

Msaada ku apply chuo online Nacte

Matata25

Member
Joined
Feb 5, 2012
Posts
60
Reaction score
18
Habari za usiku ndugu zangu? Nahitaji msaada namana ya ku apply nacte vyuo vya afya. Nimejaza taarifa zote lakini hakuna kinachoendelea.
Hatua ya kwanza nimefungua ukurasa wa kujisajili na nikajaza taarifa zote. kama inavyoonekana kwenye screenshoot hapo chini.
Then ukurasa wa pili ulipofunguka umekuja unaomba username na password. Username najuwa ni Form Four Index number, je password hiyo naipataje? Maana sijatumiwa e-mail wala sms. Tafadhali naomba msaada kwa wenye uwelewa wa hii kitu. Kama nitapata procedures nitafurahi sana. Natanguliza shukrani nyingi.
http://41.93.40.131:8080/noavs/

Registration page 2.jpg


Registration page 3.jpg
 
Back
Top Bottom