Mwantela92 Member Joined Jan 24, 2012 Posts 53 Reaction score 5 Jul 2, 2015 #1 Ningependa kufahamu lini watu wanaanza ku apply kwa ajili ya chuo level ya bachelor degree
kbmk JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 776 Reaction score 158 Jul 3, 2015 #2 Mwantela92 said: Ningependa kufahamu lini watu wanaanza ku apply kwa ajili ya chuo level ya bachelor degree Click to expand... Nenda ku apply sasa Bonyeza link hii http://www.nacte.go.tz/ alafu click central Admission System fuata maelekezo kumbuka ku apply bachelor unalipishwa 50000 kwa kutumia M Pesa Mkuu kila la kheri wahi sasa mwisho tar 17 kama sikosei
Mwantela92 said: Ningependa kufahamu lini watu wanaanza ku apply kwa ajili ya chuo level ya bachelor degree Click to expand... Nenda ku apply sasa Bonyeza link hii http://www.nacte.go.tz/ alafu click central Admission System fuata maelekezo kumbuka ku apply bachelor unalipishwa 50000 kwa kutumia M Pesa Mkuu kila la kheri wahi sasa mwisho tar 17 kama sikosei