nderingosha
JF-Expert Member
- Mar 20, 2011
- 4,285
- 3,250
inadumisha penzi? pweeehh..kijana subiri uoe ndio utajua kama ni sahihi au laaahh but jua kwamba haisaidii chochote kwenye kudumisha ndoa.
Nimekuelewa lakini usinifikirie vibaya,mi natafuta views za watu waliooa,najua wengi mko radhi kuzungumzia maswala ya tigo haswa nje ya ndoa lakini mnasahau hili jambo(kwa vile lipo sana kwenye jamii tena hufanyika sana)halijadiliwi kwa wenye ndoa wakati lawezekana pia kuwa lipo,ni kama lilivyo swala la ubakaji katika jamii,watu hulizungumza sana haswa linapokuwa nje ya ndoa lakini watu hawazungumzii ubakaji ambao pia upo sana katika ndoa nyingi(wangapi wanarudi na pombe zao kichwani na kuwabaka/kuwaingilia wanawake zao bila ridhaa yao?)
mmnnhh! Makubwa![/QUOTE
mambo vuvuzela, mapenzi hayadumishwi kihivyo wapenz, hiyo c akitaka ataipata tu kama sio kwako kwa mwingine huko nje, hata aumpe nn kama wa kudumu atadumu tu kwa kukupa heshima sio kufanyana mpaka puani cjui mackioni cjui huko kwingine.
Nakushauri ukajadili na vijana wenzako ambao hawajaoa au kuolewa. Au la kawaulize viongozi wa dini yako watakupa mwangaza mzuri.
Hivi wewe muuliza swali umeoa au umeolewa??? Huu nauita ujinga kajadili na vijana wa mitaani sio hapa Tigo???? Umenitia kichefuchefu kabisa tena ndani ya ndoa??? Ha ha ha ha hujakua bado wewe subiri muda wako ufike
Natumaini mu wazima week end hii,mi naomba mjadili hili swala la mapenzi kinyume cha maumbile(tigo)katika ndoa kwani katika mijadala mingi jambo hili hujadiliwa haswa linapokuwa nje ya ndoa lakini kuna watu walioko kwenye ndoa ambako jambo hili hutokea sana lakini halijadiliwi kwani watu huona kama vile si mahali pake vile!lakini ukweli ni kwamba lipo na wenzetu wazungu hulijadili waziwazi huku baadhi yao wakisema kufurahishwa sana na mchanganyiko wa tigo na ngono mbabadala kwenye ndoa zao na hili eti hudumisha penzi.Ebu wana jamii tulijadili hili kwa wenye maoni zaidi.Mi bado sijaoa hivyo naondoa swala la conflict of interest.
Huyo bwana mdogo nina wasiwasi kama ndoa yake itadumu. Inaonekana anapenda sana tigo na mwanamke wa heshima atakushangaa sana ukimtamkia suala la tigo. Kwa ufupi ni kwamba atakushangaa na asiye na simile itakuwa ndiyo sababu ya kuachana na wewe.
.