Msaada kuacha tigo

Dah!!! Mi nafikiri kuna tatizo la kimazingira ,Malezi na pia hata Kielimu .Nataka kushawishika kuamini kua mambo ya tiGO kwa wanandoa unaweza kuta kweli yapo ,lakini kabla hujaumiza kichwa kuwaza inakuwajex2 we wasome tu hao wana ndoa lazima utakuta wameathiriwa na tatizo moja wapo ya nililoliandika hapo juu au yote kwa pamoja coz issue ya kumuomba tiGO wife wako dah!!sio nyepesi (kwa mtazamo wangu lakini).
Kwanza nitajiuliza vipi nitamwangalia baada ya kumwambia,vp ikitokea haja respond ,nitawaza jinsi anavyoniheshimu na kunithamini na udharirishaji wa kinyama ninao taka kumtendea,nitawaza jinsi familia yao na yetu inavyo heshimiana na nini kitatokea ikitokea amewavujishia kua nilitaka kum tiGO mmmh!!.
Sio kitu chepesi kama tunavyo dhani otherwise labda nae awe ni wa aina hiyo...na akiwa wa hivyo nampiga kibuti asije niletea laana kwenye uzao wangu woooy!!!MKE ni kitu nyingine sana jamani labda msiwe na future yoyote.............
 
ukija ktk dini hairuhusiwi ni kosa kubwa sana kuitu100 híi line,ndio maana watu huenda kufanya hivyo nje ya ndoa

mweh!kwa hiyo dini imekataza tigo kuliwa ndani ya ndoa,nje ruksa!kumbee...
 
For God sake! hivi kweli watu hawamjui Mungu? Kijana ebu soma Mwanzo/kutoka kisa cha SODOMA NA GOMORA, ilikuwa ni hii issue ya kwenda kinyume na maumbile na Mungu aliwapiga upofu wa ajabu. Ebu jiulize kwa nini wanaume wanaenda nje kutafuta hiyo TIGO na si kwa wake zao? Ni kitu ambacho si halali.

Nakushauri uwe makini sana unapouliza maswali kama haya, ebu pitia vitabu vingi vya saikologia ujue madhara ya kitu unachokisema. Ukiona vipi ebu tembelea madaktari wakushauri, vinginevyo soma bibria upate ufahamu wa mambo mengi inaonyesha wewe huna unalojua.

Pole sana kijana.
 
Mimi nitakujibu kuwa yapo,hao wanaoshambulia swali lako ni wale wanaopenda kukimbia ukweli,hebu tujiulize ni nini huwa kinasababisha manesi pale leba wawatukane wanaume wanapokwenda kuchukua watoto wao?Na nini ambacho kinasababasha wadada wengi siku hizi kujifungua kwa oparesheni tofauti na zamani?Hili swala lipo na wala tusijifanye hatujui,kikubwa ni kulikemea na kuhakikisha tunaelimishana ili tuweze kulishinda.
 
mnh ulivoshambuliwa sijui ka next time utakuja kupaka upupuwako tena
 
Kuna rafiki yangu m1 alimuomba mkewe kutu100 hii line,bac mkewe akamnyima na kesho yake kwenda kumshtaki kwa baba yake.Basi alipofika kwaobaada ya mazungumzo ya hapa na pale ndipo baba akamuuliza mwanawe BABA:Ndio mwanangu una jipya gani? MTOTO:Baba mie nimekuja kumshtakia mkweo,eti ananilazimia nimpe Tigo BABA:We mpumbavu nini mama yako asingekuwa mvumilivu ungetukuta pamoja mpaka leo? Hebu rudi kwa mumeo huko
 
Pepo Hilo Lishindwe Na Lilegee kwa Jina La Mweza Yote Jehovah!
 

Paka kumbe umeshafanya na research kabisa, we mkaree!
 
tuitane kila majina ndugu zangu but ukweli uko palepale kuwa haka kamchezo kapo kuna kipindi niliwahi sikia kuwa wanaue wahudhurie leba pale wake zao wanapojifungua nilihofu kwa kuona kuwa ndoa nyingi zingeingia mushkeli kwani mume hapewi tigo but mke anashindwa kupush kwani muscles zimelegea kwa kuliwa tg what culd u say????? mume anapigwa bomba la kusafisha njia ya mkojo wakati hajawahi kupewa tg na mkewe what do u say??? hivi vitu vipo jamani kwenye jamii hii kwa wanandoa na wasio na ndoa haijatungwa inaexist tusijifanye vipofu ikiwa tunawaona vijana mabwabwa wakiingia gest na watu wenye pete zenye gramu nyingi tu za dhahabu vidoleni na tukasema hicho kitu hakipo, na wala viziwi tunaposikia aunt fulani sjui kapigana na aunt nani kumgombea kibosile fulani tukaziba maskio, tunahitaji jamii ambayo inaweza kuelezeka sikufichana fichana mazara yake ni makubwa hatuwezi kuzipigia ndoa debe kuwa ni suluhisho la matatizo ikiwa tunaona wazi kuwa ndoa nyingi zimeshikiliwa na kauzi ka kutotambua nyuma ya pazia mwenzi wako anaishije siku ukija tambua at least 40% ya maisha hayo ndoa inageuka kuwa ndoana. sisemi ndoa zote bali zipo kati ya ailizofungwa ambazo ni kielelezo cha jamii tunayoishi na moja ya sababu ni kama hizi za tigo, umalaya nk
 
Hamjambo wana jamvi, nina hili tatizo ni miezi mitatu sasa. Mume wangu anataka tigo, ni mtu wa miraba minne ana kilo 110 ni mwanajeshi. Kuna siku akanitigo kwa nguvu, nililia sana nikashindwa hata kutembea. Sasa imekuwa kila baada ya muda fulan anataka tigo. Mpaka sasa kanifanya mara 3. Nimeenda hospital nikapata matibabu. Sasa ananitisha sana nimejaribu kumweleza kaka yake, kipondo nilichopata hakina mfano. Binafsi sipendi huu mchezo kabisa najua madhara yake. Kuniacha hataki. Naumia sana moyoni. Kuwaambia wazaz naogopa. Nisaidien mkakati wa kujitoa kwake au nikashtakije kwa wazazi. Naamin Jf ni sehem sahihi ya kupata michango ya kujenga.
 
huu ni udhalilishaji wa kijinsia dada yangu.nakushauri ukaripoti polisi hili jambo kama kweli wataka haki itendeke.soma maandiko kuhusu kufanya huo mchezo na hukumu ya Mungu juu ya wanaofanya hivyo.
Mungu akupe nguvu ushinde huu mtihani
 
utafiti uliofanywa na unicef 2002 katika baadhi ya wilaya za dar, ilionyesha kuwa at least 66% ya wanandoa walisha attemp au kufanya au kushawish. This has an imperative to the spread of hiv/aids.
 
DA! POLE SANA, ILA HUYO MWANAUME HAKUPENDI HATA KIDOGO, ANGEKUWA ANAKUPENDA ANGEJALI AFYA YAKO KWANZA.....MADHARA YA TIGO NA MAKUBWA SANA ZAIDI YA HAYO MAUMIVU UNAYOYAPA,,ILA MWAMUZI WA KUONDOKANA NA HUYO MUMEO NI WEWE MWENYEWE.....HIVYO CHUKUA HATUA YA KUENDELEA KUPATA MADHARA, AU YA KUONDOKANA NA HAYO MADHARA....

KUNA SEHEMU UMESEMA KUKUACHA HATAKI NAHISI KAMA SIJAKUELEWA??!!, JE UNASUBIRI YEYE AKUACHE NDIYO NA WEWE UMWACHE???,,ATAKUACHAJE WAKATI ANACHOKITAKA KWAKO ANAPATA????...UKISUBIRI KUACHWA NA WEWE NDIYO UNAYEUMIA mmmhh!! hapo sasa nakuwa sikuelewi....

NA PIA NIMEGUNDUA MADHARA YA WAZAZI KUTOKUWA KARIBU NA WATOTO WAO KIPINDI CHA MALEZI,,MTOTO AKIKUA ANAKOSA UHURU WA KUJIELEZA MATATIZO YANAYOMSIBU MBELE YAO,,HII WAZAZI TULIANGALIE KWA JICHO LA PILI.....

NARUDIA TENA POLE SANA KWA HAYO TATIZO LAKO LAKIN DAWA YA HILO TATIZO LAKO UNALO MWENYEWE.
 
Hamjambo wana jamvi, nina hili tatizo ni miezi mitatu sasa. Mume wangu anataka tigo, ni mtu wa miraba minne ana kilo 110 ni mwanajeshi. Kuna siku akanitigo kwa nguvu, nililia sana nikashindwa hata kutembea. Sasa imekuwa kila baada ya muda fulan anataka tigo. Mpaka sasa kanifanya mara 3. Nimeenda hospital nikapata matibabu. Sasa ananitisha sana nimejaribu kumweleza kaka yake, kipondo nilichopata hakina mfano. Binafsi sipendi huu mchezo kabisa najua madhara yake. Kuniacha hataki. Naumia sana moyoni. Kuwaambia wazaz naogopa. Nisaidien mkakati wa kujitoa kwake au nikashtakije kwa wazazi. Naamin Jf ni sehem sahihi ya kupata michango ya kujenga.
 
He hii issue imeniuma rohoni uchungu nausikia mpaka nakosa point za kuandika haaaa??? Yaaani daaah ngoja nitarudi baadae
 

Vumilia tu baadae utazoea

Utakuwa unaona kawaida tu na tena utapenda zaidi.
 
Vumilia tu baadae utazoea

Utakuwa unaona kawaida tu na tena utapenda zaidi.

Hee Fidel80!
Mkuu, mwenzio anasema anaumia avumilie kwani yeye jiwe?
Ampeleke polisi na ahakikishe huyu mtu anaachana naye na serikali amuakikishie usalama wake.
Huyu ni sawa na mnyama anatakiwa kukomeshwa kabisa.
Pole sana dada,
Tafuta msaada wa sheria utakao kuacha huru kabla hujapata madhara makubwa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…