Hiyo imekua locked kweny mtandao fulani...gharama Utayotumia na muda wa ku unlock ni bora ukaachana nayo..iphone 4s kwa sasa sio usefull tena..Msaada jamani kuna simu tajwa hapo juu Iphone 4s nkiweka line za kibongo inahitaji kuactivate ili isome, nkiactivate kwa kutumia WIFI mwisjoni inasema SIM NOT SUPPORTED. Nifanyaje ili line ziweze kusoma? Nimejaribu line zote inasema hivo.
Miaka ya nyuma nliitumia hii simu line zilikuwa fresh tu
Hiyo imekua locked kweny mtandao fulani...gharama Utayotumia na muda wa ku unlock ni bora ukaachana nayo..iphone 4s kwa sasa sio usefull tena..
Sent using Jamii Forums mobile app
Apple Reseller wa Mcity na wa Posta.mzee ni muuzaji gani hapa bongo anauza iphone OG
Apple Reseller wa Mcity na wa Posta.
Pia kwenye maduka ya mitandao ya simu kma Vodacom, Tigo, Airtel, nk