Msaada kuagiza mzigo toka Nigeria

Msaada kuagiza mzigo toka Nigeria

mabwiku

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2015
Posts
447
Reaction score
390
Habari wadau,naomba msaada kuagiza mzigo kutoka Nigeria,ni ki parcel cha kubeba mkononi,mwanzo nimeagiza kupitia DHL bei ni kubwa na bado mpaka sasa sijapata, sababu ni watu wa customer TRA hawakubaliani na bei niliyoagizia wakati reference zote zipo mpaka za malipo,hivyo wameniomba bei kubwa sana mpaka nimeamua kuachana nao.

Naomba kama kuna njia nzuri zaidi ya kuagiza ambayo haina usumbufu wa hawa jamaa
 
"kwa muoga hutasikia kilio"
achana na ayo manunuzi ndugu
 
Back
Top Bottom