Ninahitaji kununua kifaa tiba fulani toka katika kampuni ya Maya medical equipment limited yenye anwani hii hapa:No 10, Haiyue building ,HaiBin garden, Shangjiao Dashi town, Panyu Area,Guangzhou,China. Je kuna mtu mwenye taarifa au uzoefu wa kununua vitu kwa mtandao toka China? Naogopa kulizwa na hawa jamaa!

kma ni verified au laa mkuu?tembela alibaba.com angalia kama supplier ni verified,kama ni verified,unaweza kutumia makampuni ambayo yapo Tanzania na yana matawi kule,watathibitisha uwepo wa hiyo ofisi,then ndiyo utawalipa na kusafirishiwa mzigo wako.
Kila la heri.
Nitajuaje kama ni verified au laa mkuu?
Kuna kampuni hua inajitatangza kupitia channel ten, ipo china na dar kwa ajili ya kusafirisha vifurushi. jaribu kuulizia.Ninahitaji kununua kifaa tiba fulani toka katika kampuni ya Maya medical equipment limited yenye anwani hii hapa:No 10, Haiyue building ,HaiBin garden, Shangjiao Dashi town, Panyu Area,Guangzhou,China. Je kuna mtu mwenye taarifa au uzoefu wa kununua vitu kwa mtandao toka China? Naogopa kulizwa na hawa jamaa!