twende kazi
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,520
- 461
hongera kwa kupata kazi mkuu,kumbuka kazi ni mbaraka
kwanza naomba upitie topic ya non profit business account! nafikiri itakusaidia its simple but very technical pia rejea kwenye different international standard
kumbuka uandaaji wake wa financial statement quite different na fs tulizozoea
fixed asset unaweza kuipata kama ukijua thamani ya manunuzi kwa mara ya kwanza ,alafu pigia gharama ya uchakavu(deprecion rate) mpaka mwaka huu
pia unaweza kufanya mawasiliano
Nimeajiriwa kanisani fresh from school kitengo cha uhasibu nimekuta receipts & payments invoices tu.Hawajawahi kuandaa any final reports wana miradi mbali mbali ikiwemo majengo,magari,mashamba na other revenue centres.Tatizo nawezaje kuandaa statement of financial position while sijui thamani halisi ya fixed assets?mapungufu yapo mengi nitafunguka kadri mnavyonijibu.msaada kwa wazoefu plz

Mtoa mada, huko shule mlifundishwa nini? Kama ni uhasibu, je hamkufundishwa jinsi ya kuandaa financial statements? Na kama sio uhasibu, kwa nini umeajiriwa katika fani usiyo na utaalam nayo?
nafahamu kuandaa statements tatizo sijui thaman ya mali zilizopo mfano wana mashamba ya kurithi,magari ya misaada na majengo wameyakuta so unategemea nitaandaa vp bila kujua thamani halisi?