Ngamba JF-Expert Member Joined Jun 6, 2013 Posts 750 Reaction score 151 Jun 15, 2016 #1 jameni pokeni na shughuri za kutafuta mafao, naombeni msaada , leo kuna hii mboga ya wanyamwezi na wasukuma huitumia " MZUBO" naomba kujua jinsi ya kuiandA na vile vile jinai ya kuipika asanteni
jameni pokeni na shughuri za kutafuta mafao, naombeni msaada , leo kuna hii mboga ya wanyamwezi na wasukuma huitumia " MZUBO" naomba kujua jinsi ya kuiandA na vile vile jinai ya kuipika asanteni
N Nyanda21 Senior Member Joined Jun 6, 2016 Posts 134 Reaction score 60 Jun 17, 2016 #2 Weka maji kikombe kimoja kwa sufuria yakichemka tia Katanga zilizosagwa zikoroge mpk ziwe uji mzito kisha chota mboga yako vijiko viwili weka kidogo kidogo huku ukikoroga mpk mxhanganyiko uwe vizur acha kwa muda vitokote.kisha jirambe
Weka maji kikombe kimoja kwa sufuria yakichemka tia Katanga zilizosagwa zikoroge mpk ziwe uji mzito kisha chota mboga yako vijiko viwili weka kidogo kidogo huku ukikoroga mpk mxhanganyiko uwe vizur acha kwa muda vitokote.kisha jirambe