Msaada kuandika dessertation

zeus

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2009
Posts
213
Reaction score
55
je unatakiwa kuandika desetesheni n?
kwa msaada na ushauri tuwasiliane :A S 465:
 
cv; legal,social sciences na humanities..:smile-big:
 
je unatakiwa kuandika deseration na umekwama kuchagua topik au kupangilia muundo wa dessertation yako?
kwa msaada na ushauri tuwasiliane :A S 465:

Kiongozi..mimi ni mmoja wa wahitaji,lakini angalau ungeweka cv yako ili iturahisishie kujua kama utatufaa au vipi.
 
je unatakiwa kuandika deseration na umekwama kuchagua topik au kupangilia muundo wa dessertation yako?
kwa msaada na ushauri tuwasiliane :A S 465:
zeus unashiriki kuzalisha wasomi uchwara? Utakapomsaidia akifika kazini atafanyaje? kama hajaelewa amrudie mwalimu mpaka afahamu na kubobea katika kuandika taarifa za kitafiti
 
Last edited by a moderator:
wewe unaomba kuandikiwa dissertation una akili kweli? uandikiwe ili iweje? Kesho nani atakuandikia ripoti yako ofisini? Think twice before posting.
 
zeus unashiriki kuzalisha wasomi uchwara? Utakapomsaidia akifika kazini atafanyaje? kama hajaelewa amrudie mwalimu mpaka afahamu na kubobea katika kuandika taarifa za kitafiti

Ndachuwa ni kushauri tu sio kumuandikia. jf ni sehemu ya kubadilishana mawazo na ushauri. kumbuka pia walimu wetu ni wachwara
 
wewe unaomba kuandikiwa dissertation una akili kweli? uandikiwe ili iweje? Kesho nani atakuandikia ripoti yako ofisini? Think twice before posting.

punguza jazba mkuu, soma tena thredi inasemaje then ndio uposti,,,,..du!
 
Zeus, my post was meant to address the request by Salito. Not you sir.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…