Wadau nimeeona majarida kadhaa yahusuyo matangazo ya biashara kwa dsm! Nimevutiwa sana na hii biashara ila changamoto imekuwa jinsi ya kuanza!!
Kwa mwenye ufahamu, je kampuni ya printing zinapokea order kuanzia nakala ngapi na bei zao zikoje !? kama nitataka kuprinti mwenyewe je mashine bei zinaendaje!?