Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kibar cja biashara tra
1.fika tra wilayan kwako kwa ajili ya utamburisho au form ya maombi ya TIN,form hiyo ina sehemu ya kujaza mdhamini.
2.ukifika mkoani unapata usajiri wa TIN yaan tax identification number bure kabisa.
3.baada ya hapo utafanya malipo ya biashara yako yaani tax kwa malipo ya mwaka mzima au robo na hata nusu mwaka.kwa sasa kumekuwa na mabadiriko kidogo katika viwango tofauti na mwaka jana na hata mwaka juzi.
4.pia unashauriwa kuwa na reseni ya biashara na hii inatolewa na maafisa wa biashara na siyo tra tena..
hayo ya brela mimi simo..
1. andaa Memorundum ya kampuni yako ipeleke brela ikasajiliwe kuna gharama utalipa kule
2.ukipata cheti, nenda halmashauri ukajaze fomu ya leseni ya biashara unalipia kitu kama 1,ooo/= na unaenda TRA kuchukua TIN no ya kampuni yako, hakikisha wale wote walioko kwenye kampuni kama wakurugenzi wana TIN zao binafs, kisha mtapata ya kampuni ila hakikisheni mna ofisi ambayo watakuja kukagua, baada ya hapo nendeni bank mtakayoipendekeza na memorundum copy kwa ajili ya kufungua akaunti, kisha ingieni sasa kupambana na kuomba tenda mbalimbali, pia kama unataka zile za serikalini nafikiri kuna utaratibu wa kujiunga na GPSA kama sijakosea, hivyo ndivyo navyojua mimi kwa ufahamu wangu mdogo, wengine watanirekebisha na kuongezea. haya yote waweza fanya mwenyewe kama unashindwa ndio kuna watu wana dili na ayo mambo.
I get you brother . Ni partinarship ngoja mipango ieendelee .nilimsikia jamaa analalamika kila sehemu wanataka cha juu. Kihalali inachukua mda gani kukamilishA
samahani nimechelewa kukujibu, mishemishe tu, ila ki ukweli hiyo kitu kwa uzoefu wangu ni sehemu 1 tu, huko kwingine hakuna , kihalali tenga wiki, kwa mfano tumia juma hili la 77 kusajili na kufanya huduma zingine zitakazopatikana hapo.