Msaada kuanzisha kampuni na usajiri wa biashara

mbogodj

Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
65
Reaction score
13
Habari kaka na Dada
tunawezaje pata kibali TRA/brela cha biashara kwa kufuata taratibu sahihi.

Tupo wilaya ya kinondoni
Hakuna taratibu yoyote imefuatwa/ kuanzwa ndio mwanzo kabisa.

Mbogo kwa niaba ya vijana wenye uhitaji ( George and Dina)
Asante kwa msaada.
 
Kwa kibar cja biashara tra
1.fika tra wilayan kwako kwa ajili ya utamburisho au form ya maombi ya TIN,form hiyo ina sehemu ya kujaza mdhamini.
2.ukifika mkoani unapata usajiri wa TIN yaan tax identification number bure kabisa.
3.baada ya hapo utafanya malipo ya biashara yako yaani tax kwa malipo ya mwaka mzima au robo na hata nusu mwaka.kwa sasa kumekuwa na mabadiriko kidogo katika viwango tofauti na mwaka jana na hata mwaka juzi.
4.pia unashauriwa kuwa na reseni ya biashara na hii inatolewa na maafisa wa biashara na siyo tra tena..
hayo ya brela mimi simo..
 
1. andaa Memorundum ya kampuni yako ipeleke brela ikasajiliwe kuna gharama utalipa kule
2.ukipata cheti, nenda halmashauri ukajaze fomu ya leseni ya biashara unalipia kitu kama 1,ooo/= na unaenda TRA kuchukua TIN no ya kampuni yako, hakikisha wale wote walioko kwenye kampuni kama wakurugenzi wana TIN zao binafs, kisha mtapata ya kampuni ila hakikisheni mna ofisi ambayo watakuja kukagua, baada ya hapo nendeni bank mtakayoipendekeza na memorundum copy kwa ajili ya kufungua akaunti, kisha ingieni sasa kupambana na kuomba tenda mbalimbali, pia kama unataka zile za serikalini nafikiri kuna utaratibu wa kujiunga na GPSA kama sijakosea, hivyo ndivyo navyojua mimi kwa ufahamu wangu mdogo, wengine watanirekebisha na kuongezea. haya yote waweza fanya mwenyewe kama unashindwa ndio kuna watu wana dili na ayo mambo.
 
Asante Sana . Biashara ikibadilika unatakiwa kubadilisha pia leseni?
 
I get you brother . Ni partinarship ngoja mipango ieendelee .nilimsikia jamaa analalamika kila sehemu wanataka cha juu. Kihalali inachukua mda gani kukamilishA
 
I get you brother . Ni partinarship ngoja mipango ieendelee .nilimsikia jamaa analalamika kila sehemu wanataka cha juu. Kihalali inachukua mda gani kukamilishA

samahani nimechelewa kukujibu, mishemishe tu, ila ki ukweli hiyo kitu kwa uzoefu wangu ni sehemu 1 tu, huko kwingine hakuna , kihalali tenga wiki, kwa mfano tumia juma hili la 77 kusajili na kufanya huduma zingine zitakazopatikana hapo.
 
Ooky thanx ngoja ni arrange
 
Rushwa hapo haikwepeki,kamahutoi chajuu utakesha.
Wanaweza kuja kukgua ofisi wakakufelisha kwa makusudi.Na hapo inakuwa imekula kwako.
Herufi kubwa tu hapo wala haji mtu kukagua
 
Kaka nitafute kwa namba hii .0758144803.tuongee biashara wala usiangaike tutakuandalia kila kitu.
 
ANJOA COMPANY LIMITED NI JIBU LA SWALI LAKO.

- Tunasaidia (assist) kurasimisha biashara yako (kusajili biashara),
-Tunasaidia (assist) kusajili kampuni na NGO
- Tunaandika michanganuo ya biashara (business plan)
-Tunaandaa mahesabu
- Tunasaidia (assist) kuanzisha taasisi za mikopo na jinsi ya kuziendesha
- Kwa mawasiliano, piga simu zifuatazo.0759-692024 au 0688-510564 Email us: anjoa_limited@yahoo.com
Au fika ofisini kwetu, Dar es Salaam, Kinondoni – Manyanya, Togo street, plot number 332, Jengo lililo karibu na Togo tower, ghorofa ya pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…