Nina wazo kama hili,
Na nimejaribu kuwashirikosha baadhi ya wadau ambao wamenishauri ifuatavyo;
1.Kukidizaini kipindi kitakuwaje.
2.Ku_record demo ya hicho kipindi.
3.Kuandika Business proposal ya kuomba sponsorsheep kwenye kampuni kubwa.
Wakishaiangalia demo uliyoirekodi na wakiikubali idea yako kuwa itauza,
Hapo m'naweza fanya kazi.
NB:
SI RAHISI KUFANYA HII KITU PEKE YAKO,
KWANI KUNA SEHEMU ZINA CHANGAMOTO.
NI VEMA KUKUTANA HATA WATU KADHAA WENYE LENGO 1 MKACHANGIANA MAARIFA NA MENGINEYO.
Kwa wadau wa hii ishu tukutane PM.