utakuja
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 1,033
- 900
wakuu habarini za mchana mimi nimejaribu sana kuapply bodi ya mkopo kwanza kupata hile code ni usumbufu kwa njia ya mpesa maana kila nikiandika ile namba yangu mfano S1234.0056.2009 naambiwa not allowed naombeni msaada kwa alie fanikiwa ahsanteni ..