juliana coaster22
Member
- Oct 3, 2022
- 28
- 17
- Thread starter
-
- #21
Nenda kabadili hiyo ni makadirio tu.
HAHAHAHAFeki. Watakuambia kaoneshe mashine ya kufyatulia zingine.
Kachukue Elfu 90 iyo boss.
Akibadirisha atapewa 90 atuachie ata 10 sio mbaya.Kweli na ndio maana nimemwambia aende akabadili tu. Hayo ni makadirio.
Feki. Watakuambia kaoneshe mashine ya kufyatulia zingine.
Akibadirisha atapewa 90 atuachie ata 10 sio mbaya.
Hela bandia!ikiwa counterfeit ndo manake nn