unique mathias
Member
- Jan 24, 2011
- 58
- 40
habari zenu wadau.
nami pia naungana nanyi
wadau katika kutafuta mwalimu(secondary)
wa kubadilishana nae kituo
cha kazi. Mimi niko
jimbo la vunjo(moshi vijijini)
eneo la marangu natafuta mdau alieko kati ya arusha
vijijini au meru. Lengo la
kutaka kuhama ni ili
kuwahudumia wazazi
wangu. Wote wako above 85
na wanahitaji uangalizi wa karibu. Maelezo
zaidi;0762040453