deecharity
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 932
- 506
Sijakuelewa, yani ikitoa usaha bahata ya kung'oa kucha au ikitoa usaha wakati gani?hyo kitu inauma hyo but uciogope kikitoa usaha tu unapona
First go to hosptalNaomba Msaada,kucha ya mguuni kwenye dole gumba inaota kwenda ndani inapelekea kushindwa hata kuvaa kiatu na kidole kuvimba.
Nini suluhisho ya tatizo hili kwa anayejua?
Naomba Msaada,kucha ya mguuni kwenye dole gumba inaota kwenda ndani inapelekea kushindwa hata kuvaa kiatu na kidole kuvimba.
Nini suluhisho ya tatizo hili kwa anayejua?
Ahsante sana kwa ushauri, Mungu akubariki.pole ila waweza kwenda hospital ambapo kuna wataalam/specialist wa kucha ukafanye upasuaji. nimewahi kuwa na tatizo kama hilo na nilidhani ni bakteria walikuwa wakishambulia, lakini haikuwa hivyo na nilikaa muda mrefu sana hadi nilipoenda Bugando (baada ya mtu mmoja aliyekuwa akifanya kazi hapo kunieleza kuna specialist wa kucha pale) almost 7 years ago na ilikatwa upande ilikokuwa inaota kwenda ndani na nimepona kabisa. Mungu akusaidie ndugu.
Na hilo ndio nilikua najiuliza hata nikitoa si bado itarudi vile vile baadae, ahsante kwa ushauri mkuu.Pole sasa unachotakiwa kufanya ni kwenda kununua neil kata ile ambayo ime chongoka na kuanza kuitoa hiyo kucha iliyo zama pembeni. Hata ukienda hospitali watakutoa hiyo kucha but ukishapona itaota na itaingia tena kwenye nyama. Solution ni kutafuta ile neilkata ambayo imechongoka ambayo ni maalum kwa ajili ya watu wenye tatizo kama lako. Unatakiwa uwe unakata kucha kwa kutumia hiyo neilkata maalum ambayo inazama mpaka kwenye nyama na kukata kucha. Au nenda kwa wale wanao tengeneza kucha. Hata kama ni saloon yakike wewe zama wakate hiyo kucha. Ukienda hospitali watatoa kucha yote na utateseka ila ukipona na kucha ikiota tuu inazama tena kwenye nyama.
Kaka Mambo vipi, vipi ulipataga dawa ya hii?? Maana inanisumbua piaNaomba Msaada,kucha ya mguuni kwenye dole gumba inaota kwenda ndani inapelekea kushindwa hata kuvaa kiatu na kidole kuvimba.
Nini suluhisho ya tatizo hili kwa anayejua?