Ngwatuson
New Member
- Jul 13, 2024
- 2
- 2
Habari
Rafiki yangu ameniomba ushauri nikaona sio vibaya kuwashirikisha Wana jamii.
Amesema "Ana wapenzi wawili wote wanamkubali, Wakwanza ni nesi japo halipwi hata mshahara mkubwa na sio bikra zodiac sign yake inaendana na jamaa, she's cool nyashi ya kueleweka anatokea Lindi
Wapili ni anajitafuta tu kweny biashara ndogo ndogo ni bikra zodiac sign haiendani na jamaa ana mwonekano mzuri tu, anatokea moro mgogo" Msaada wakuu majibu yenu.