Msaada: Kuchukua fedha Western Union

ANKO JEI

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2018
Posts
1,302
Reaction score
2,462
Habari wakuu naimani mko salama

Niende kwenye lengo la uzi,kifupi nimetumiwa fedha kupitia GOOGLE ADSENSE na niliweka njia ya malipo iwe WESTERN UNION na swala linapokuja kunitatiza ni kwamba wakati naandika jina langu western union mtandaoni niliandika HAMISI JUMBE (mfano) lakini vitambulivyo vyangu jina limeandikwa HAMIS JUMBE je wakuu hapo uwezekano wa kukubaliwa upo? Na je ukiacha vitambulisho ni document gani naweza thibisha kua mimi ndo muhusika??

asanteni
 
Bado jina ni lile lile labda watu wa bank waamue tu kukuzingua.... nenda bank ya DTB au TPB wale hawanaga longo longo unachukua mpunga wako unasepa.

Ila next time tumia jina kamili lililopo kwenye ID utakayotumia kuepuka khofu isiyo na lazima.
 
Nenda DTB au posta ukiwa na kitambulisho cha kupiga kura
Usihofu kuhusu jina lako kukosewa
 
MREJESHO

DTB walinipa fedha bila tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…