Kwa mliowahi kukopaNMB inaposemwa 0.75% ni bima ya Mokpo na 1.5% in loan officer tafsiri mini hasa na ukichukua mkopo wa 10 mil unakatajwe charges Zake na unapokea shilling ngapi?

Mi najua za watumish tu. kwamba mkopo unaouomba unapokea wote riba inakuja juu. ingawa kuna asilimia nazani ni 0.75 ambayo huenda kwa ded kutoka kwenye mkopo ulio omba. zaidi cjui.