Msaada kuendelea kukopa m-pawa

Msaada kuendelea kukopa m-pawa

Rudaguza01

Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
92
Reaction score
37
Vodacom M-Pawa wamekuwa wakifanya vizuri juu ya mikopo kwa wateja wao ila kwa sasa hyo huduma imekosekana kwa baadhi ya wateja au labda sjui kama ni wote mikopo haitoki na baadhi tumesha jazà na fomu wanazodai ili kupata mkopo lakini ukikopa inafeli. Mwenye plan b jinsi ya kupokea mkopo huo anijuze tafadhari. Nilikuwa nakopa tsh 55000/=.
 
Endelea kutumia huduma za Mpesa na Mpawa mara kwa mara, ili kuongeza nafasi zaidi ya kukopa.
 
mu wameniambia niende ofisi za vodacom labda nawewe uende huko ukawalalamikie
 
Kuna program ya tala tanzania cjawahi itumia bt naona itakufaa. Iko playstore, ichek
 
Kuna usajili wa laini ulikuwa umekamilika ila hukutumia vitambulisho vifuatavyo:
. Cha taifa
. Cha mpiga kura
. Leseni ya udereva
. Passport ya kusafiria

Sasa wanataka ukabadilishe taarifa zako
 
Vodacom M-Pawa wamekuwa wakifanya vizuri juu ya mikopo kwa wateja wao ila kwa sasa hyo huduma imekosekana kwa baadhi ya wateja au labda sjui kama ni wote mikopo haitoki na baadhi tumesha jazà na fomu wanazodai ili kupata mkopo lakini ukikopa inafeli. Mwenye plan b jinsi ya kupokea mkopo huo anijuze tafadhari. Nilikuwa nakopa tsh 55000/=.
Download hizi app

1. TALA

2. Branch

Nao wanatoa mikopo kama m power...
 
Endelea kutumia huduma za Mpesa na Mpawa mara kwa mara, ili kuongeza nafasi zaidi ya kukopa.
Natumia ila hyo imetokea baada ya kuanza kuuza hisa zake nadhan wamevunja mkataba wa ukopaji kwanza kwakutoelewana kugawana faida na wawekezaji wa hisa.
 
Na kama huweki akiba kiasi chako cha kukopa kirakuwa kinashuka kila siku,
Mpaka kufikia 5000
 
Kuna usajili wa laini ulikuwa umekamilika ila hukutumia vitambulisho vifuatavyo:
. Cha taifa
. Cha mpiga kura
. Leseni ya udereva
. Passport ya kusafiria

Sasa wanataka ukabadilishe taarifa zako
Nilikamilisha kwa kutumia cha kupigia kura nikapokea na msg ya vodacom kuwa wamepokea maombi yangu nitajibiwa ndani ya SAA 24 lakini mpaka sasa tayari imepita miezi 3 mkuu.
 
Natumia ila hyo imetokea baada ya kuanza kuuza hisa zake nadhan wamevunja mkataba wa ukopaji kwanza kwakutoelewana kugawana faida na wawekezaji wa hisa.
Vodacom wamekula hasara sana kutokana na kukpopesha mikopo kwa watu wasiojulikana, yani wale ambao walisajiri line na vitambulisho vya mitaani, wengine ndo hvyo kabisa bila hats kusajiri.

Ndo maana ili kuanza kupata mkopo lazima ufike makao makuu ya Vodacom ili ukatoe taaarifa sahihi za usahiri wako Wa line either kwa kutumia kitambulisho cha
Vote ID
Citizen ID
Passport
Zanzibar ID.

Ndipo utaruhusiwa kujaza form ya kuomba kutumia Huduma za mpawa ikiwemo na mikopo. But ukisha jaza form utasubilia kama mwenzi hivi. baada ya kutumiwa SMS ya uthibitisho kuwa mpawa already activated, ndo utaanza kuweka akiba kidogo kido mpaka ufike hatua ya kukopa sasa.

Note:unaweza ukaangalia Mpawa loan limit alafu itakuambia mwisho Wa kiwango ni shilingi 20000. Lakini hautaweza kukopa.
 
Nilikamilisha kwa kutumia cha kupigia kura nikapokea na msg ya vodacom kuwa wamepokea maombi yangu nitajibiwa ndani ya SAA 24 lakini mpaka sasa tayari imepita miezi 3 mkuu.
In sahihi kuwa mpole tuhh, huchukua mda sana kukamilishiwa taarifa
 
Back
Top Bottom