Rudaguza01
Member
- Aug 11, 2017
- 92
- 37
mu wameniambia niende ofisi za vodacom labda nawewe uende huko ukawalalamikieVodacom M-Pawa wamekuwa wakifanya vizuri juu ya mikopo kwa wateja wao ila kwa sasa hyo huduma imekosekana kwa baadhi ya wateja au labda sjui kama ni wote mikopo haitoki na baadhi tumesha jazà na fomu wanazodai ili kupata mkopo lakini ukikopa inafeli. Mwenye plan b jinsi ya kupokea mkopo huo anijuze tafadhari. Nilikuwa nakopa tsh 55000/=.
Download hizi appVodacom M-Pawa wamekuwa wakifanya vizuri juu ya mikopo kwa wateja wao ila kwa sasa hyo huduma imekosekana kwa baadhi ya wateja au labda sjui kama ni wote mikopo haitoki na baadhi tumesha jazà na fomu wanazodai ili kupata mkopo lakini ukikopa inafeli. Mwenye plan b jinsi ya kupokea mkopo huo anijuze tafadhari. Nilikuwa nakopa tsh 55000/=.
Ndio mkuu. Unaambiwa kuna fomu unajaza upya utambulisho wako ikiambatanishwa na maombi ya mkopo tena. Inafanyikia voda shop.siku izi kuna kujaza form?
Natumia ila hyo imetokea baada ya kuanza kuuza hisa zake nadhan wamevunja mkataba wa ukopaji kwanza kwakutoelewana kugawana faida na wawekezaji wa hisa.Endelea kutumia huduma za Mpesa na Mpawa mara kwa mara, ili kuongeza nafasi zaidi ya kukopa.
Nadhani wamesitisha tu wanahofia kuutarifu umma kwakuwa bado wanadai wengine.Nilikwisha wakopa hadi laki 6.5 nimelipa kwa wakati. ghafla! sikopesheki hadi nikajaze fomu wamenikera sanaaa!
Inahusika na mpawa mukopo au ni kitengo kingine kinacho jitegemea?Kuna program ya tala tanzania cjawahi itumia bt naona itakufaa. Iko playstore, ichek
Nilikamilisha kwa kutumia cha kupigia kura nikapokea na msg ya vodacom kuwa wamepokea maombi yangu nitajibiwa ndani ya SAA 24 lakini mpaka sasa tayari imepita miezi 3 mkuu.Kuna usajili wa laini ulikuwa umekamilika ila hukutumia vitambulisho vifuatavyo:
. Cha taifa
. Cha mpiga kura
. Leseni ya udereva
. Passport ya kusafiria
Sasa wanataka ukabadilishe taarifa zako
Vodacom wamekula hasara sana kutokana na kukpopesha mikopo kwa watu wasiojulikana, yani wale ambao walisajiri line na vitambulisho vya mitaani, wengine ndo hvyo kabisa bila hats kusajiri.Natumia ila hyo imetokea baada ya kuanza kuuza hisa zake nadhan wamevunja mkataba wa ukopaji kwanza kwakutoelewana kugawana faida na wawekezaji wa hisa.
Ahsante mkuu.Download hizi app
1. TALA
2. Branch
Nao wanatoa mikopo kama m power...
In sahihi kuwa mpole tuhh, huchukua mda sana kukamilishiwa taarifaNilikamilisha kwa kutumia cha kupigia kura nikapokea na msg ya vodacom kuwa wamepokea maombi yangu nitajibiwa ndani ya SAA 24 lakini mpaka sasa tayari imepita miezi 3 mkuu.